Zubeen Garg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zubeen Garg (amezaliwa Zubeen Borthakur ; 18 Novemba 1972) ni mwimbaji raia wa India, mkurugenzi wa muziki, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mwandishi wa tamthilia na philanthropist. [1] anafanya kazi na ni ni mwimbaji katika tasnia ya muziki ya Kiassam, Kibengali na Kihindi, lakini ameimba lugha nyingine nyingi na lahaja, pamoja na Bishnupriya Manipuri, Boro, Kiingereza, Goalpariya, Kannada, Karbi, Khasi, Kimalayalam ., Marathi, Mising, Nepali, Odia, Sanskrit, Sindhi, Tamil, Telugu, Tiwa . Pia ni mpiga ala na hucheza ala 12 zikiwemo dhol, dotara, ngoma, gitaa, harmonica, harmonium, mandolini, kinanda, tabla na ala mbalimbali za midundo . Yeye ndiye mwimbaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika Assam. [2]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Garg alizaliwa [[Brahmin]] familiya ya [[Tura, Meghalaya]] kwa Mohini Mohon Borthakur na Late Ily Borthakur. Alijulikana kwa jina [[Zubin Mehta]] kabla ya kuwa muhimbaji[3]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Decoding the stardom of Zubeen Garg – An unpredictable rockstar with a heart of gold- Entertainment News, Firstpost". Firstpost (kwa Kiingereza). 25 November 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 May 2019. Iliwekwa mnamo 14 May 2019.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Barred from singing in Hindi, Assam singer leaves Bihu stage". The Indian Express (kwa Kiingereza). 16 April 2017. Iliwekwa mnamo 19 December 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "'These Brahmins should be killed,' says Assam singer Zubeen Garg; cases filed", Hindustan Times, 29 July 2019. (en) 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zubeen Garg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.