Kikarbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikarbi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakarbi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikarbi imehesabiwa kuwa watu 420,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikarbi iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.