Waitaliano wa mshuko wa Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
                                                      

Makala hii ina dalili ya kutungwa kwa kutegemea programu ya kompyuta kama vile "Google translation" au "wikimedia special:content translation" bila masahihisho ya kutosha. Watumiaji wanaombwa kuchunguza tena lugha, viungo na muundo wake. Wakiridhika na hali yake wanaweza kuondoa kigezo hiki kinachoonekana kwenye dirisha la kuhariri juu ya matini ya makala kwa kutumia alama za {{tafsiri kompyuta}} .

Tangu miaka ya 2010 kulikuwa wimbi mkubwa wa uhamiaji kutoka Afrika hadi nchi ya Italia. Sensa ya nchi ya Italia haitumia asili kabisa, lakini asilimia 1.5 ya idadi ya watu ni Waafrika. [1] Kuna kabisa 1,000,000 waafrika katika nchi ya Italia.[2] Asilimia 38 ya wahamiaji wote wanatoka Afrika.[1] Kwa kawaida watu hawa wanatoka nchi za Nigeria, Ghana, Senegal, Eritrea, Ethiopia, Moroko, Tunisia, Aljeria, Misri, na Libya[1][3].

Wahamiaji wanahitaji kusafiri Bahari ya Mediteranea. Safari hiyo ni hatari; kwa hivyowatu wengi wafa. Kwa mfano, watu wanatumia boti ambazo hazina vifaa vizuri kusafiri baharini. Pia, Bahari ya Mediteranea ina dhoruba ambazo zinatokea bila taarifa kwa sababu bahari ni mkubwa na inazungukwa na kontinenti tatu.[4] Watu wa Ethiopia, Ertirea, na Libya wanakwenda nchi ya Italia kwa sababu nchi hizo zilishindwa sheria ya koloni ya Italia. Pia, kuna watu bidhii ambao wanazungumza kiitaliano.[5][6][7]

Mara kwa mara waitaliano wa msuko wa Afrika wana matitzo ya ubaguzi wa kimbari. Kwa mfano, watu wengi wanahisi kwamba wao si waitaliano halisi ingawa wao wanazungumza waitaliano na ufasaha na walizaliwa katika nchi ya Italia.[8] Pia, waitaliano wa mshuku wa Afrika wana matatizo na vurugu na ubaguzi. Kwa mfano, waitalainao wa Afrika wengi ni waislamu na wengi waitaliano ni wakatoliki. Kwa hivyo, shambulio ni ya kawaida.[9] Asilimia 95 ya Italia ni watu weupe.[1] Labda inasababisha waitalinao wa Afrika wamecharazwa viboko sana na wabaguzi wa rangi.[10]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

[2][1][4][5][6][7][8][10][9]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 Monica D. Brown (2022-08-31). "Black + Italian. ‘The long road to permanency for African descendants.’". Ark Republic (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2024-04-24. 
  2. 2.0 2.1 "Cittadini Stranieri in Italia - 2018". Tuttitalia.it (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2024-04-24. 
  3. "African migrants: What really drives them to Europe?". Al Jazeera (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-24. 
  4. 4.0 4.1 Migrant boats in the Mediterranean: Why are so many people dying? (kwa en-GB), 2023-08-13, iliwekwa mnamo 2024-04-24 
  5. 5.0 5.1 https://www.britannica.com/place/Italian-East-Africa
  6. 6.0 6.1 "Libya - Ancient, Ottoman, Independence | Britannica". www.britannica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-24. 
  7. 7.0 7.1 "Exploring the Italian Language: A Journey Through Countries That Speak Italian". preply.com (kwa Kiingereza). 2024-01-03. Iliwekwa mnamo 2024-04-24. 
  8. 8.0 8.1 "They are Black. They are Italians. And they are changing their country.", Christian Science Monitor, ISSN 0882-7729, iliwekwa mnamo 2024-04-24 
  9. 9.0 9.1 https://www.state.gov/wp-content/uploads/2023/05/441219-ITALY-2022-INTERNATIONAL-RELIGIOUS-FREEDOM-REPORT.pdf
  10. 10.0 10.1 Letter from Africa: How racism haunts black people in Italy (kwa en-GB), 2022-08-15, iliwekwa mnamo 2024-04-24