Wafiadini wa Mesopotamia waliochomwa moto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wafiadini wa Mesopotamia waliochomwa moto (walifia dini Kapadokia, katika Mesopotamia ya leo, 303 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliuawa namna hiyo, kichwa chini miguu juu, wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Mei[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.