Amalek
(Elekezwa kutoka Waamaleki)

Amalek (kwa Kiebrania עֲמָלֵק, ʻĂmālēq [1]) ni jina linalopatikana katika Biblia ya Kiebrania, kwa hiyo pia katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo, kuhusu mjukuu mmojawapo wa Esau, kabila la wahamaji lililotokana naye (Waamaleki), na maeneo yaliyokaliwa nao[2] (Negev, Moabu na jangwa la Sinai) ambayo katika karne ya 14 KK yalikuwa na wakazi wachache sana.
Waisraeli walipohama Misri, Waamaleki walikuwa wa kwanza kupigana nao[3] wakawa maadui wao wa kudumu mpaka walipoangamizwa na mfalme Sauli.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Amalek may mean people of lek (עֲם , לֵק), or "dweller in the valley", or possibly "war-like", "people of prey", "cave-men". Z'ev ben Shimon Halevi, Kabbalah and Exodus,Weiser Books 1988 p.101.
- ↑ J. Macpherson, 'Amalek' in James Hastings, (ed.) A Dictionary of the Bible: Volume I (Part I: A -- Cyrus), Volume 1, University Press of the Pacific, Honolulu, (1898) 2004, pp.77-79,p.77.
- ↑ Rashi [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- (1884) Balaam: An Exposition and a Study. London: K. Paul, Trench, & Company.
- (1894) Illustrated Bible Dictionary, 2nd, London: T. Nelson.
- (2000) Eerdmans Dictionary of the Bible, David Noel Freedman, Allen C. Myers, Astrid B. Beck, Wm. B. Eerdmans Publishing. ISBN 9780802824004.
- (1833) Penny Cyclopaedia, Volumes 1-2.
- (1997) Mercer Dictionary of the Bible, 3rd and corr. print., Macon, Ga.: Mercer University Press. ISBN 9780865543737.
- Sagi, Avi (1994). The Punishment of Amalek in Jewish Tradition: Coping with the Moral Problem, Harvard Theological Review Vol.87, No.3, p. 323-46.
- (1832) A Biblical and theological dictionary. London: Publisher, John Mason.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Wipe Out Amalek, Today? chabad.org
- Amalek, Based on the teachings of the Lubavitcher Rebbe
- Remember Amalek: A lesson in Divine Providence
- Remembering Amalek Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- Latznu: Popular Culture and the Disciples of Amalek
- Antiquities of the Jews - by Josephus Flavius Archived 15 Machi 2017 at the Wayback Machine.
- The Jewish Encyclopedia, 1901-6: Amalek
- A Kabbalistic view of Amalek
- Amalec - Catholic Encyclopedia article
- Between Rephidim and Jerusalem Archived 5 Septemba 2015 at the Wayback Machine. - Amalek symbolism in relations between Israelis and Palestinians
- Contemporary Amalek - Hirhurim - a blog post by Rabbi Gil Student explaining Rav Soloveitchik's controversial view that the Nazis were considered Amalekites
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amalek kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |