Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Jane Panja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ghana scout Association

[hariri | hariri chanzo]

The Ghana Scout Association Ni muunganiko wa jeshi la nchi ya ghana. Skauti ilianzishwa na koloni ya Uingereza mnamo mwaka 1911 na kua mwanachama wa shirika la skauti duniani mwaka 1960. Muungano huu unajumla ya wanachama 3,919 kama ya mwaka 2011.[1] Kufikia mwaka 2019 muungano huu ulikua na jumla ya wanachama 13,496 . [2] Mwaka 2007 skauti mkuu alikua raisi John Agyekum Kufuor.[3]

Skauti hushiriki katika miradi mingi ya huduma ya jamii. Miradi hiyo mingi hufanywa katika maeneo ya mashambani ambako skauti huwapanga watu kusaidia katika miradi hiyo. Baadhi ya miradi hiyo ni ujenzi wa vituo vya afya, shule na maji safi. pia wanahusika katika kilimo, kupanda miti na kusaidia kuendesha mabwawa ambayo huzalisha samaki.

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Kama kijana, Samuel Wood alishinda mashindano ya kuchora, yaliyofadhiliwa na gazeti la Uingereza Sheffield Weekly.Tuzo ilikuwa ya udhamini wa shule, lakini Samuel Wood hakuweza kuchukua kwa sababu hakuweza kumudu gharama ya kusafiri kwenda Uingereza.Badala yake, alitumwa vitabu na machapisho ya gazeti. Moja ya vitabu ilikuwa Robert Baden-Powell's .Samuel Wood aliandika kwa Makao Makuu inayohusika na Harakati ya skauti, huko London, na kuwauliza jinsi angeweza kuanzisha kikundi chake cha skauti. Mkataba ulitolewa mnamo Tarehe 4 mwezi january mwaka 1912kwa kikundi cha kwanza cha Skauti cha Gold Coast (Koloni ya Uingereza) [3] vikundi vingine vilifuata maeneo mengine ya nchi .

Samuel Wood aliendelea kujihusisha katika skauti na kwa sababu ya juhudi zake, Gold Coast ikawa koloni ya kwanza kuanzisha sheria kwa ajili ya ulinzi wa skauti na Guide movement .[3] Wood died on 1952-09-09.[3]

Programu

[hariri | hariri chanzo]

Muungano umegawanyika katika sehemu nne kulingana na umri.

[4]

  1. "Triennal review: Census as at 1 December 2010" (PDF). World Organization of the Scout Movement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 8 Mei 2012. Iliwekwa mnamo 2011-01-13.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. World Organization of the Scout Movement (2019). "WOSM Census 2019" (PDF). WOSM. Iliwekwa mnamo 13 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  3. 3.0 3.1 3.2 3.3 "World Scout @100-Ghana Scout Celebrates!!!", Modern Ghana Ltd, 2007-07-05. Retrieved on 2007-07-09. 
  4. {<{cite web |url=http://www.scoutbase.org.uk/library/hqdocs/facts/pdfs/fs260041.pdf |title=Scouting Facts: Ghana |publisher=The Scout Association |accessdate=2008-08-16}}

The Ghana Girl Guides Association

[hariri | hariri chanzo]

The Ghana Girl Guides Association(GGGA) ni shirika la Taifa la Girl Guides nchini Ghana. Inahudumia wanachama 26,909 (kama ya Mwaka 2014). Ilianzishwa mwaka 1921 huko Accra, shirika la Girl Guides likawa mwanachama kamili wa Chama cha Ulimwenguni cha Viongozi wa Wasichana na Wasichana skauti mnamo Mwaka 1960. [1]

The Ghana Girl Guides Association GGGA inasaidiwa na chama cha Shirika la Kimataifa la Girl Guides na skauti Wanawake.


  1. Donkor, Bright Philip. "Ghana Girl Guides Association celebrates its Centenary". newsghana.com.gh/.