Nenda kwa yaliyomo

Urais wa Barack Obama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Urais wa Barack Obama ulianza tarehe 20 Januari 2009 saa sita mchana EST, alipoapishwa kama rais nambari 44 wa Marekani. Obama alikuwa mjumbe katika Bunge La Maseneta La Marekani kutoka Illinois alipomshinda mjumbe wa Arizona, Seneta John McCain, katika uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2008.

Sera zake Obama zimejumuisha majaribio ya kuyaondoa matatanisho ya kiuchumi ya miaka 2008-2009, na pia mabadiliko katika sheria za ushuru za Marekani. Katika sera zinazohusu nch za kigeni, Obama amejaribu kuukarabati uhusiano wa Mrekani na nchi nyingine, na pia kuanza kutamatisha ufungwaji wa mahabusu wa kigeni katika kituo cha kijeshi cha Guantanamo Bay. Obama ametanganza kwamba atajaribu kupunguza silaha za nyuklia zinazohifadhiwa na jeshi la Marekani.

Baraza la Mawaziri

[hariri | hariri chanzo]
Baraza la Mawaziri la Obama.
WizaraAfisiWaziriPichaMadarakani Tangu

Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri wa Mambo ya NjeHillary Rodham Clinton21 Januari 2009

Wizara ya Fedha
Waziri wa FedhaTimothy Geithner26 Januari 2009

Wizara ya Kujihami
Waziri wa KujihamiRobert Gates18 Desemba 2006

Wizara ya Sheria
Wakili MkuuEric Holder2 Februari 2009

Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri wa Mambo ya NdaniKen Salazar21 Januari 2009

Wizara ya Kilimo
Waziri wa KilimoTom Vilsack21 Januari 2009

Wizara ya Biashara
Waziri wa BiasharaGary Locke24 Machi 2009

Wizara ya Kazi
Waziri wa KaziHilda Solis24 Februari 2009

Wizara ya Afya
Waziri wa AfyaKathleen Sebelius28 Aprili 2009

Wizara ya Nyumba na Maendeleo ya Miji
Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya MijiShaun Donovan26 Januari 2009

Wizara ya Uchukuzi
Waziri wa UchukuziRay LaHood22 Januari 2009

Wizara ya Nishati
Waziri wa NishatiSteven Chu21 Januari 2009

Wizara ya Elimu
Waziri wa ElimuArne Duncan21 Januari 2009

Waziri wa Mambo ya Wanajeshi Wastaafu
Waziri wa Mambo ya Wanajeshi WastaafuEric Shinseki21 Januari 2009

Wizara ya Ulinzi wa Ndani na Usalama
Waziri wa Ulinzi wa Ndani na UsalamaJanet Napolitano21 Januari 2009

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]