John McCain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John McCain

John Sidney McCain III (29 Agosti, 1936 - 25 Agosti, 2018) alikuwa mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Jamhuri.

Tangu mwaka 1987 hadi kifo chake alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Arizona. Mwaka wa 2008 aligombea urais lakini akashindwa na Barack Obama.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John McCain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.