Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2008
Mandhari
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 2008 ulikuwa wa 56 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 4 Novemba. Upande wa "Democratic Party", mgombea Barack Obama (pamoja na kaimu wake Joe Biden) alimshinda mgombea wa "Republican Party" John McCain (pamoja na kaimu wake Sarah Palin).
Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Obama akapata kura 365, na McCain 173. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |