Wizara ya Elimu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nchi kadhaa zina idara za serikali zinazoitwa Wizara ya Elimu au Wizara ya Elimu ya Umma . Wizara ya kwanza kabisa inafikiriwa kuwa Tume ya Taifa ya Elimu (pl. Komisja Edukacji Narodowej, lt . Edukacinė komisija) na ilianzishwa mwaka wa 1773 katika katika Madola ya Kipolishi-Kilithuania.Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]


"

"