Majadiliano:Urais wa Barack Obama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

InterWiki[hariri chanzo]

Makala imekosa viungo vya wiki nyingine, yaani, interwiki. Nikiangalia makala ya Wikipedia ya Kiingereza, naona kitu kama "Presidency of Barack Obama", lakini sina uhakika kama mwandishi huyu wa kwanza alitafsiri makala hii kutoka kwenye ukurasa huo. Fikiria kuongeza viungo vya wiki kwenye makala hii.--Muddyb MwanaharakatiLonga 07:48, 10 Novemba 2009 (UTC)