Mitara
Mandhari
(Elekezwa kutoka Upoli)
Mitara (pia: Upoli au Upali) ni hali ya watu zaidi ya wawili kuishi katika uhusiano wa kindoa.
Hali hiyo ilikuwa ya kawaida barani Afrika, ambapo mwanamume mmoja aliweza kuwa na wanawake zaidi ya mmoja, lakini kwa sasa inazidi kupungua.
Ya nadra zaidi ni hali ya wanaume kadhaa kuchanga mwanamke mmoja.
Baadhi ya nchi zinakubali hali hiyo, lakini nyingi zinaikataza.
Vilevile baadhi ya dini zinakubali mitara, hususan Uislamu, lakini nyingine zinaikataza, hususan Ukristo.
Katika Biblia tunakuta maendeleo ya ufunuo kuhusu hali hiyo kati ya Agano la Kale na Agano Jipya, ambapo Yesu alitoa msimamo wa mwisho.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Cairncross, John (1974). After Polygamy Was Made a Sin: The Social History of Christian Polygamy. London: Routledge & Kegan Paul.
- Campbell, James (1869). The History and Philosophy of Marriage. First published in Boston.
{{cite book}}
:|access-date=
requires|url=
(help) - Chapman, Samuel A. (2001). Polygamy, Bigamy and Human Rights Law. Xlibris Corp. ISBN 1-4010-1244-2.
- Hillman, Eugene (1975). Polygamy Reconsidered: African Plural Marriage and the Christian Churches. New York: Orbis Books. ISBN 0-88344-391-0.
- Korotayev, Andrey (2004). World Religions and Social Evolution of the Old World Oikumene Civilizations: A Cross-cultural Perspective (tol. la First). Lewiston, New York: Edwin Mellen Press. ISBN 0-7734-6310-0.
- Main Street Church (2007; Video Documentary). Lifting the Veil of Polygamy. Main Street Church.
{{cite book}}
: Check date values in:|year=
(help) - Van Wagoner, Richard S. (1992). Mormon Polygamy: A History (tol. la 2nd). Utah: Signature Books. ISBN 0-941214-79-6.
- Wilson, E. O. (2000). Sociobiology: The New Synthesis. Harvard Univ Pr. ISBN 0-674-00235-0.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikisource has original text related to this article: |
- media kuhusu Polygamy pa Wikimedia Commons
- The Four Major Periods of Mormon Polygamy, essay by Todd M. Compton, hosted by Signature Books
- Polygamy in Africa Archived 7 Mei 2017 at the Wayback Machine.
- History of Polygamy in Judaism Archived 1 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- LIFE With Polygamists, 1944 Archived 5 Novemba 2010 at the Wayback Machine. - slideshow by Life magazine
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mitara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |