Ngano
Mandhari
(Elekezwa kutoka Triticum)
Kwa aina ya fasihi simulizi tazama makala ya Ngano (hadithi)
Ngano (Triticum L.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Ngano ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu au punje za ngano ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia hasa kwenye kanda zisizo na joto au baridi kali.
Ngano ni kati ya nafaka muhimu zaidi zinazoliwa na watu pamoja na mhindi na mpunga. Ngano hutumiwa hasa kwa kuisaga kuwa unga. Unga wa ngano hutumiwa kwa mkate, chapati na pasta.
Spishi zinazopandwa sana
[hariri | hariri chanzo]- T. aestivum, Ngano ya Mkate (Common or Bread Wheat) - Spishi ya heksaploidi inayopandwa sana kabisi duniani.
- T. durum, Ngano Ngumu (Durum) - Spishi ya tetraploidi inayopandwa sana, nambari mbili duniani.
- T. monococcum, Ngano Punje-moja (Einkorn) - Spishi ya diploidi yenye aina za porini na zinazopandwa; isiyopandwa sana sikuhizi.
- T. dicoccum, Ngano Punje-mbili (Emmer) - Spishi ya tetraploidi iliyopandwa zamani lakini si sana sikuhizi.
- T. spelta, Ngano Spelti (Spelt) - Spishi ya hexaploidi inayopandwa bado kwa kiasi.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Ngano wa mkate
-
Ngano ngumu
-
Ngano punje-moja
-
Ngano punje-mbili
-
Ngano spelti
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ngano kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |