Nenda kwa yaliyomo

Toyota Fortuner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Toyota Fortuner
Toyota Fortuner
Kampuni ya magariToyota
Also calledToyota Hilux SW4
Production2005—present
AssemblyBidadi, Karnataka, India
Samut Prakan,Thailand
Karawang, Indonesia
Alitanguliwa naToyota Hilux Sport Rider
Classsport utility vehicle
Body style(s)5-door SUV
LayoutFront engine, rear-wheel drive / four-wheel drive
PlatformIMV / N platform
Engine(s)2.7 & 4.0 VVT-i gasoline
2.5 & 3.0 D4-D diesel
Wheelbasemm 2 750 (in 108.3)
Marefumm 4 695 (in 184.8)
Upanamm 1 840 (in 72.4)
Urefumm 1 790 (in 70.5) (without roof rail)
Curb weightapprox. kg 1 800 (lb 3 968)
RelatedToyota Hilux Vigo
Toyota Innova
Isuzu MU-7

Toyota Fortuner ni gari aina ya pickup inayo makao ya abiria (PPV) inayotengenezwa na kampuni ya magari ya Toyota ya Ujapani kwa ajili ya baadhi masoko ya Asia , Afrika na Amerika ya Latin.

Ikiunganishwa nchini India, Thailand, Afrika ya Kusini na Amerika ya Kusini, Fortuner imeundwa vizuri kwa mtindo wa Toyota Hilux Pickup . ina safu tatu ya viti na inapatikana katika mfumo wa kusonga na manne na magurudumu mawili ya nyuma Fortuner ni sehemu ya mradi wa IMV wa Toyota nchini Thailand, ambao pia ni pamoja na Toyota Hilux Innova (katika Indonesia). Gari hii iliundiwa nchini Thailand na Wahandisi wa Thai na Kijapani .

Idadi ya injini chaguzi zinapatikana kutegemea nchi ya mauzo, ikiwa ni pamoja 2.7 liter 2TR-Fé na 4.0 liter 1GR-Fé V6 petroli na Variable Valve Timing och 2,5 2KD-FTV na 3.0 1KD-FTV mtindo ya diseli yenye turbocharger .

Ngazi za trimu ni ni G na G Luxury zinazosonga kwa magurudumu ya nyuma za dizeli na petroli, na V inayosonga kwa magurudumu manne inayotunia Dizeli na petroli. Turbo ya kawaida ya dizeli ina eneo la kuingiza hewa iliyo juu ya gari.

Mwaka wa 2007 Toyota Thailand ilikomesha mtindo wa nne-gurudumu ya petroli na kubadilisha kuwa gurudumu-mbili mtindo wa petroli.

Hii gari ndiyo inatouzwa kwa ukubwa katika jamii ya (SUV / PPV) katika Philippines na Thailand.

Toyota ilizindua Fortuner India mwaka wa 2009. [1] [2] Inaunganishwa Bidadi, Karnataka tawi la kaKirloskar la Kampuni binafsi la Toyota M kutumia viungo vya CKD vya kuagizwa. [3]

Indonesia

[hariri | hariri chanzo]

Fortuner ilianzishwa mwaka wa 2005 wakati wa onyesho la Kimataifa ya Jakarta la magari. Iko chini ya Land Cruiser na juu ya RAV4.

Inauzwa katika 2.7 G na 2.7 V. Baadaye, toleo la 2.5 g liliongezwa. Trimu ya 3.0 dizeli haiuzwi rasmi nchini Indonesia. Iliagizwa hasa kwa masoko ya na Kalimantan , ambayo imeuzwa kwa wingi.

2.7 G ina gia ya kujiendesha ya spidi-4 nakusonga kwa gurudumu mbili na injini ya petroli cc 2694. Mtindo huu unauzwa kwa wingi katika miji mikubwa kwa sababu ya gia yake kya kujiendesha. 2.7 V inaongeza uwezo wa kusonga kwa magurudumu manne, na ni maarufu katika Java, ambapo barabara zilizo na mawe ziko kwa wingi. 4x2 2.7 G na 4x4 2.7 V huja jtu na gia za kujiendesha. 2,5 G baadaye iliongezwa kwenye soko inayo injini ya 2.5 dizeli bhp 102 (kW 76; PS 103) na kushutumiwa kwa kuwa na nguvu kiasi ikilinganishwa na ukubwa wake. inajulikana kuwa na gia ya kuendeshwa ya spidi-5. Mtindo wake wa mwili umeshutumiwa vikali kwa kuwa si imara inaposonga mwendo wa kasi. Licha ya haya, 2,5 Fortuner anafurahia mafanikio bila kujali kuwa inapatikana katika gia ya kuendeshwa, kwa sababu ya Toyota inaaminiwa na wengi wa wananchi wa Indonesi. Hata hivyo,injini ya dizeli 2.5 injulikana kuwa fanisi zaidi na kudumu katika muda mrefu.

Katikati mwa mwaka wa 2009, toleo jingine liliongezwa kwenye nstari, ambayo ni pamoja na 2.5 G automatiki uya spidi-4. Wamiliki wa 2.5 G ya gia ya kuendeshwa walishutumu mtindo huo, wakisema kwamba mtindo wa gia ya kuendeshwa ulikuwa hauna nguvu na kuongeza gia ya kujiendesha kungeharibu zaidi. Toyota ina matumaini kuwa mtindo huu utauzwa kwa wingi na kuleta juu uuzaji wa Fortuner ambao unakuwa dhaifu, kwa sababu ya mtindo wa 2.5 G unaouzwa zaidi wa gia ya kuendeshwa haikuuzwa vizuri sana kwa sababu wakati huo soko haingenunua gari ya gia ya kuendeshwa kwa bei hiyo,Kwa hivyo uanzishi wa mtindo wa automatiki ungefaa soko.

Katika uzinduzi wake Fortuner iliuzwa kwa wingi , lakini kamwe haikuuzwa kuliko Honda CR-V na Nissan X-Trail kwa sababu hizi ni aina ya SUV na zina ufanisi zaidi na kuwa bora kwa matumizi ya mijini. Katika maeneo ya kijijini Fortuner ni maarufu kwa kuwa inaweza kubeba watu wengi. Rais wa Indonesia, Susilo Bambang Yudhoyonoanamiliki Fortuner ya kijivu ya V, na mara nyingi huonekana wakati wa kampeni za hivi karibuni zauchaguzi wa rais 2009.

Toyota Fortuner inauzwa katika Malaysia katika mtindo miwili - 2.7V na 2.5G.

2.7V hubeba injini ya silinda -4, valvu-16, DOHC, VVT-i petroli , pamoja na nguvu inayofika kW 118 (PS 160; hp 158) 5200 rpm na upeo wa N⋅m 241 (lb⋅ft 178) 3800 rpm. 2.7V inapatikana tu katika gia ya kujiendesha ya spidi-4 inayo ECT.

2.5G ina injini ya DOHC Turbo dizeli inayotoa kW 75 (PS 102; hp 101) 3600 rpm na tokiya N⋅m 260 (lb⋅ft 190) 1600-2400 rpm. 2.5G awali ilipatikana kwa gia ya spidi-5 tu, lakini mtindo wa mwaka wa 2009 una gia ya kujiendesha ya spidi-4. [4]

Ufilipino

[hariri | hariri chanzo]

Fortuner ilianzishwa mwaka wa 2005 kujaza pengo kati ya rav4 na Land Cruiser. Inauzwa katika mitindo mitatu: 2.7G petroli, 2.5G dizeli, na 3.0V dizeli.

Philippine Soko Fortuner

Mtindo wa 2.7G ina injini ya Toyota lita 2,7- 2TR-Fé pamoja na teknolojia ya VVT-i teknolojia, ambayo inazalisha hp 160 (kW 119) ifikapo 5200 rpm na N⋅m 241 (lb⋅ft 178) wa moment ifikapo 3800 rpm. Mtindo wa 2.5G , kwa upande mwingine, una injini ya lita 2,5-liter 2KD-FTV inayotumia dizeli ,teknolojia ya (D-4D) , ambayo inatowa 102 HP ifikapo 3600 rpm na toki ya N⋅m 260 (lb⋅ft 190) 1600-2400 rpm. 3.0V, ambayo ni lahaja ya juu, ndiyo 4x4 pekee tu katika anuwai (lahaja za awali ni 4X2). Ina injini1KD-FTV injini pamoja na D-4D teknolojia, ambayo inazalisha hp 163 (kW 122) ifikapo 3400 rpm na N⋅m 343 (lb⋅ft 253) wa moment saa 1400-3200 rpm. lahaja zote za 4X2 dizeli za 2.5L huja katika aina zote mbili za gia ya kuendeshwa na kujiendesha, wakati zingine huja katika mfumo wa gia ya kujiendesha.

Fortuner ndiyo SUV bora katika Filipino licha ya ushindani kutokana na SUV mpya , kama Honda crv na Hyundai Tucson na hata vile vile Ford Everest na Mitsubishi Montero Spoti.

Singapore

[hariri | hariri chanzo]

Fortuner ilianzishwa mwaka wa 2005 na mara moja kuwa maarufu na wanunuzi wa SUV. Tatizo ilikuwa kutafuta mahali ya SUV hii katika mijini ya kichaak ya Singapore. Baadhi ya matatizo ni pamoja mahali pa kupakiakwani ina urefu wa mita 1.85 na baadhi ya maeneo ya kupakia hayawezi kuchukua urefu huo. Toleo la mwaka wa 2009 iko tayari lakini9 ni chache kuliko 1000 katika Singapore .

Toleo la Facelift

[hariri | hariri chanzo]

Toleo linalo mabadiliko madogo madogo ya Toyota Fortuner lilizinduliwa Agosti mwaka wa 2008 kama mtindo wa 2009. Ina mataa mapya, mataa ya nyuma mapya, Radio yenye DVD Navigation mfumo, Bluetooth, sura ya ndani mpya yenye mwanga, kiti cha dereva kinachotumia umeme katika trimu ya 4x4 V , kidhibiti hewa kwenye dari ,kidhibiti utulivu, na mfumo wa breki wa umeme, pamoja na kisaidizi breki ambacho kimechukua nafasi ya LSPV katika baadhi ya mifano. Pia inasonga kwa magurudumu manne (AWD) kwa mara ya kwanza. Grilina Mataa yake ya mbele mpya yanafanana na ya toleo la 200la Toyota Land Cruiser. Kuna mitindo yake minne; 2.5 G 4x2, 2,7 G Luxury 4x2, 2,7 V 4x4, na 3.0 g 4x4. - Habari na picha za LHD ya 2009 na RHD Toyota Fortuner 2009 </ ref>

Angalia Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Toyota receives 5,000 bookings for its Fortuner- Automobiles-Auto-News By Industry-News-The Economic Times". Economictimes.indiatimes.com. 2009-09-03. Iliwekwa mnamo 2009-09-19.
  2. "Long line of new-look cars this season - Pictures - News in Pictures | Economic Times". Economictimes.indiatimes.com. 2009-09-01. Iliwekwa mnamo 2009-09-19.
  3. Agencies. "Toyota to launch Fortuner in India by Sept". Financialexpress.com. Iliwekwa mnamo 2009-09-19.
  4. [12] ^ Toyota Fortuner facelift maelezo ya awali

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: