Toyota Caldina
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Desemba 2009) |
Toyota Caldina ni gari iliyoundwa na Toyota kwa ajili soko la Kijapani na ilitolewa katika mwaka wa 1992. Ilichukua nafasi ya Toyota Carina Surf.
Hata kama Caldina haijawahi kuuzwa kirasmi na Toyota nje Japan, uwezo wake wa 4WD ukubwa wake umefanya kuwa gari maarufu ya kuagiza katika maeneo ya vijijini vya Amerika ya Kusini, kama vile barabara za vumbi kama Bolivia na mashariki ya Urusi. Magari haya yamegeuzwa ya kushoto.
Historia ya Vizazi
[hariri | hariri chanzo]Kizazi cha Kwanza (1992-1997)
[hariri | hariri chanzo]Kampuni ya magari | Toyota |
---|---|
Also called | Toyota Carina E Toyota Corona |
Production | 1992–1997 |
Alitanguliwa na | Toyota Corona |
Body style(s) | 5-door wagon 5-door van |
Layout | FF layout, four-wheel drive |
Engine(s) | 1.5 L 5E-FE I4 1.8 L 4S-FE I4 1.8 L 7A-FE I4 2.0 L 3S-FE I4 2.0 L 3S-GE I4 2.0 L 2C I4 diesel 2.0 L 2C-T I4 Turbodiesel 2.2 L 3C-E I4 diesel |
Toyota Caldina ya awali ilikuwa gari ya milango tano au toleo la gari ndogo ya biashara (1992-2002) la Toyota Corona Ujapanilenye milango minne. Wagon ina vikalio vya nyuma huru wakati Wagon ya kibiashara ina vikalio nusu huru.
Kizazi cha pili (1997-2002)
[hariri | hariri chanzo]Kampuni ya magari | Toyota |
---|---|
Also called | Toyota Avensis |
Production | 1997–2002 |
Body style(s) | 5-door wagon |
Layout | FF layout, four-wheel drive |
Engine(s) | 1.8 L 7A-FE I4 2.0 L 3S-FE I4 2.0 L 3S-GE I4 2.0 L 3S-GTE I4 Turbo 2.0 L 2C-T I4 Turbodiesel 2.2 L 3C-TE I4 Turbodiesel |
Kwa kuwa na uundaji sawa na Toyota Allion Toyota Premio, Caldina toleo la Kijapani la Toyota Avensis Wagon.
Toleo za 4WD zina jinaST215, na hutolewa kama Magari ya Spoti GT na ingini ya 3S-GE . Jina GT-T lilikuja na PS 260 (kW 191; hp 256) injini ya 3S-gte kizazi cha 4 ,iliyokuwa na turbo pamoja na mfumo wa kuendesha kwa migurudumu yote kama ya Toyota Celica GT ya nne.GT-T hii pia ilikuja na uwezo wa kudhibiti utulivu kuptia umeme (VSC). ikiwa na uzito wa kg 1 470 (lb 3 241) Caldina GT-T inatoa utendaji sawa na Subaru WRX Wagon kufikia 0-100 km / h katika sekunde 7 . Toleo la kunawirisha lilitolewa mwaka wa 2000 ikiwa na bampa na taa mpya na sura mpya ya ndani.
Ingini za toleo ndogo ni 1.8 L 7A-Fé, ya 2.0 L 3S-Fé petroli na dizeli de 2,2 L 3C-TE.
Kizazi cha Tatu (2002-2007)
[hariri | hariri chanzo]Kampuni ya magari | Toyota |
---|---|
Production | 2002–2007 |
Body style(s) | 5-door wagon |
Layout | FF layout, four-wheel drive |
Engine(s) | 1.8 L 1ZZ-FE I4 2.0 L 1AZ-FSE I4 2.0 L 3S-GTE I4 Turbo |
Caldina mpya ya mwezi Septemba mwaka wa 2002 ni gari safi ya spoti, na haina vipande vya nje sawa na Allion, Premio, na Avensis.
Ingini za Caldina ni 1.8 L 1ZZ-Fé, 2.0 L 1AZ-FSE, au 2.0 L Turbo 3S-gte.
Ngazi trimu ni 1.8 X, 1,8 Z, Z 2.0, 2.0 ZT, na 2.0 GT-Nne (ya baadaye niimepatiwa jina ST246). Pia kuna toleo za MKII zxa mwaka wa 2005-2007 zilizonawirishwa.
Toleozote zina gia ya kujiendesha na Toleo za GT-NNE zinakuja aina ya mifumo ya gia yote miwili. Pia kuna handibreki ya mfumo wa stima.
Ktokana na kutoundwa kwa Celica, tena, Caldina imekuwa moja ya mifano ya gari za spoti za Toyota sportiest zinazouzwa Ujapani.
Caldina GT-NNE piAa inapatikana kama magari yaliyoagizwa nchini Malaysia.
Uundaji wa kizazi cha 3 cha Caldina ulifika kikomo katika mwaka wa 2007. Hiyo ilikuwa pia mwisho wa injini 3S-gte na "GT-NNE" katika laini ya Toyota.
Kama kodi kwa maendeleo ya spoti ya Toyota guru na muumbaji wa GT-NNE ya kwanza, Hiromu Naruse, toleo maalum la Caldina GT-NNE lilitolewa.
The Caldina GT-NNE Toleo la "N" . (N ikisimamia Naruse).
Mtindo huu mabadiliko kadhaa maalum kulingana na Hiromu Naruse.
- vidhibiti utulivu viliyoboreshwa
- Suspension ya mbele
- Torsen bakre LSD
- Viti vya mbele vya Recaro na uboreshaji wa mambo ya ndani