Toyota Paseo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Toyota Paseo
1991–1995 Toyota Paseo (EL44) coupe
Kampuni ya magariToyota
Also calledToyota Cynos
Production1991–1999
AssemblyTakaoka, Toyama, Japan
Alitanguliwa naToyota Corolla coupe
Akafuatiwa naToyota Platz/Echo
ClassSport compact
LayoutFF layout
Transmission(s)5-speed manual
4-speed automatic
WheelbaseKigezo:Auto in
Curb weight975 kg (2150 lb)

Toyota Paseo (inayojulikana kama Cynos katika Ujapani na kwingine) ni gari la spoti linalozingatia uchumi lililotolewa mwaka wa 1991 na kutumia misingi wa Toyota Tercel. Ilikuwa inapatikana kama coupe na baadaye mitindo kama Convertible. Toyota ilikomesha kuuza gari hili katika Marekani mwaka wa 1997, hata hivyo gari hili liliendelea kuuzwa katika Kanada, Ulaya na Japan hadi 1999, kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Echo mwaka wa 2000. Paseo, kama Tercel, huwa na mtindo mija na Toyota Starlet. Maeneo kadhaa yanaweza kubadilishana kati hizi tatu.

"Paseo" ni jina la Kihispania linalomaanisha "kutembea" au "kuzurura."

Kizazi cha kwanza[hariri | hariri chanzo]

Toyota Paseo
1991–1995 Toyota Paseo (EL44) coupe
Production1991–1995
Body style(s)2-door coupe
Engine(s)1.5L 100 hp (70 kW) I4
MarefuKigezo:Auto in
UpanaKigezo:Auto in
UrefuKigezo:Auto in
RelatedToyota Tercel
Toyota Corolla
Toyota Celica
Geo Prizm

Kizazi wa kwanza cha Paseo kiliundwa kati ya mwaka wa 1991-1995. Kulingana na Tercel, ilikuwa na 1.5 L E jamii ya injini ya 5E-Fé i4. Katika maeneo mengi, injini ya ya Paseo ilisemekana kuwa na 100 HP (74 kW @ 6400 rpm) na 91 ft · lbf (124 Nm @ 3200 rpm) ya toki. Mwaka wa 1993 katika California na majimbo mengine pamoja na ngazi ya California ya kiwango cha moshi , ilipimwa kuwa na 93 HP (69 kW) na 100 lbf · ft (136 Nm) ya toki. Ilinapatikana aidha katika gia ya kuendeshwa ya spidi 5 au gia ya kujiendesha ya spidi 4-speed .

Toyota 1991-1995 Paseo (EL44) coupe (Australia).


Kizazi cha Pili[hariri | hariri chanzo]

Toyota Paseo
2nd-gen Toyota Paseo coupe (Euro-spec)
Production1996–1999
Body style(s)2-door coupe
2-door convertible
Engine(s)1.5L 93 hp (69 kW) I4
MarefuKigezo:Auto in
UpanaKigezo:Auto in
UrefuKigezo:Auto in
RelatedToyota Tercel
Toyota Celica
Toyota Corolla
Toyota RAV4
Geo/Chevrolet Prizm

Kizazi cha pili cha Paseo kilianzishwa mwaka wa 1996. Mbali na baadhi uboreshaji katika injini , badiliko lililotambulika ni mwili ya mabati. Mwaka wa 1997, mtindo wa kujipindua ulianzishwa. Hata hivyo, ulikuwa mwaka wa mwisho Paseo kuuzwa katika Marekani. Toyota ilikomesha kuuza Paseo kabisa mwaka wa1999. Ili kupunguza kiwango cha moshi injini ya kizazi cha pili cha paseo ilipunguzwa hadi muwa sawa na matarajio ya mitindoa ya CARB ya California, kutoa 93 HP (69 kW) na 100 lbf · ft (136 Nm), hii, Injini nyingine ya jamiii ya E,injini ya 5K -Fé i4.

Iliuzwa nchini Uingereza miaka ya 1996-1998, lakini kukomeshwa juu ya mauzo yaliyo chini , kwani mtindo wa sura yake haukuweza kuwavutia wateja amabao Toyota ilitarajia.

Toyota Paseo yakujipindua (Marekani)

Uingereza kulikuwa na mitindo mitatu ya Paseo. ST, ikiwa Paseo ya kawaida, Si ikiwa mtindo wa juu, ikiongeza magurudumuya nchi ya mchangayo wa vyuma chuma , Radio ya Sony inayocheza CD , Spoila ya bbuti yenye rangi na taa la tatu la na breki za kutojifunga. Kisha kulikuwa na toleo la, Galliano. Galliano ilzingatia Paseo Si, ikiwa na sifa zote na zaidi. Paseo Galliano ilikuwa na spoila ya kidevu yenye rangi (pia chaguo katika mitindo midogo ya paseo ziada pia kupunguza Paseo mifano), matope walinzi, Yellow (576) paintwork na aquamarine decals chini pande. Pamoja na magurudumu ya nchi 15 yenye mtindo wa spoti na mapana ania ya "low profile"magurudumu ya 195/50 Gen za pili za rangi nza Paseoni ni kama zifuatavyo: Nyekundu ya jua iliyolipuka : 3E5. Nyeupe Safi: 040. chumaharaka (metali): 1AO. Tropicana (metali): 756. Azure (metali): 8K9. Satin Nyeusi (metali, inapatikana tu kwenye mtindo wa Si ): 205.

  • Angalia * Tangu mwaka wa 1996 Toyota imebadilisha majina ya rangi hizi. Kama unanunua rangi tumia nambari ya rangi kwani zimebakia kuwa sawa.

Uingereza haikuona kamwe Paseo yakujipindua; Gari hizi za kujipindua zilifika Uingereza na ilikuwa vigumu kuona ya kuuzwa laba uagize kutoka Japani kupitia tovuti. Mitindo ya Uingerezawa ya Toyota ilikuja na injini aina moja, ya 5E-Fé ambayo ilitoa 89 bhp (66 kW; 90 PS) kulingana na maagizo ya Uingereza. Injini ya 1497 cc ya lita 1.5 injini cc ilikuwa na hamu nakuvuta vizuri , lakini spidi ya juu, iliyopimwa na Toyota, ni 112 miles per hour (180 km/h)

Katika uundaji waa Paseo, ilijulikana Ujapani kama 'Cynos'. Katika Ujapani, Cynos ilikuwa na mitindo tatu. Alpha, Beta na Juno. Mitindo hii yote ilikuwa na vioo vya kando venye rangi yenye nambari na kifutio katika kioo cha nyuma - kitu ambacho hakikushughulikiwa na masoko ambayo si ya Kijapani .. na kitu ambacho hakikukaa sehemu ya sura ya gari hii. Juu ya vyombo hivi, Cynos ilikuja na mitindo mbalimbali ya ndani, gurudumu la kuendesha na injini. Juno ilikuja na injini ya 1,3 4E-Fé na gia ya kujiendesha ya spidi 4. Alpha ilikuwa na injini ya 1,5 5E-Fé injini na gia ya kuendeshwa ya spidi 5 na Beta ilikuja na injini ya 5E-FHE i (maarufu katika Toyota Sera ), pamoja na gia ya kuendeshwa ya spidi 5.