Toshihide Maskawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Toshihide Maskawa

Toshihide Maskawa (amezaliwa 7 Februari, 1940) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa amechunguza chembe za atomu. Mwaka wa 2008, pamoja na Makoto Kobayashi na Yoichiro Nambu, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Toshihide Maskawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.