Makoto Kobayashi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Makoto Kobayashi

Makoto Kobayashi (amezaliwa 7 Aprili, 1944) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa amechunguza chembe za atomu. Mwaka wa 2008, pamoja na Toshihide Maskawa na Yoichiro Nambu, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makoto Kobayashi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.