Thaura
Mandhari
Thaura (kutoka neno la Kiarabu) ni aina ya mapinduzi ambapo serikali hugeuzwa na jeshi au watu wanaohusiana na serikali bila wananchi kwa jumla kushiriki.
Aina
[hariri | hariri chanzo]- Thaura iliyoshindikana au jaribio la mapinduzi.
- Thaura isiyo na mabadiliko ya utawala. Kwa mfano kiongozi akitolewa madarakani bila kubadilisha kikundi cha watawala.
- Ubadilishaji wa dikteta aliyeko kwa mwingine.
- Kupindua udikteta na kufuatilia na demokrasia[1]
Majibu ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Mashirika kama vile Umoja wa Afrika na Ushirika wa Nchi za Amerika yamepitisha mifumo ya kupambana na mapinduzi ya kijeshi. Kupitia tishio la vikwazo, mashirika hayo hujaribu kukabiliana na mapinduzi ya kijeshi. Utafiti wa mwaka 2016 umegundua kuwa Umoja wa Afrika unachukua hatua za maana katika kupunguza thaura katika bara la Afrika.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Varol, Ozan O. (7 Novemba 2017). "The Democratic Coup d'État". Oxford University Press.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Powell, Jonathan; Lasley, Trace; Schiel, Rebecca (7 Januari 2016). "Combating Coups d'état in Africa, 1950–2014". Studies in Comparative International Development (kwa Kiingereza): 1–21. doi:10.1007/s12116-015-9210-6. ISSN 0039-3606.
{{cite journal}}
: More than one of|DOI=
na|doi=
specified (help); More than one of|ISSN=
na|issn=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |