Tendi
Mandhari
Tendi ni tungo ndefu za ushairi zinazoelezea juu ya matukio ya kishujaa yaliyofanywa na watu fulanifulani.
Tendi hazina tofauti kubwa na tenzi, isipokuwa zenyewe hukazia zaidi juu ya matukio ya kishujaa, wakati tenzi hukazia jambo lolote.
Mfano wa tendi ni:
MWOKOZI AJA
1. Mimi kwako ni baba,
Napenda ujitukuze,
Maana umefanikiwa,
Uemshinda yule mwovu,
Imani kuipokea,
Kwa nguvu umemwangusha.
2. Kumbuka umepigana,
Sio kwa mambo ya dunia,
Ushindi umeuleta,
Watoto washangilia,
Amani umawaletea,
Kwa mto umemwangamiza,
Adui yetu mwovu.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tendi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |