Nenda kwa yaliyomo

Tekno (mwanamuziki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Augustine Miles Kelechi (maarufu kwa jina la Tekno; alizaliwa 17 Desemba 1992) ni mwimbaji, mtayarishaji, mwigizaji na mchezaji wa Nigeria.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Kelechi anatokea Ivo, Jimbo la Ebonyi. Alizaliwa katika Jimbo la Bauchikatika katika familia ya wavulana 5 na msichana 1.

Alishawahi kutembelea maeneo kadhaa ya nchi ikiwa ni pamoja na Nassarawa, Kaduna na Abuja kutokana na ukweli kwamba baba yake alikuwa mwanachama wa Jeshi la Nigeria.

Alipokuwa na umri wa miaka 8, Tekno Miles alijiunga na shule ya muziki ambako alijifunza na kufahamu maandishi ya kuchezea piano na gitaa.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]


Mwaka Jina la nyimbo
2013 "Holiday" "Dance"
2019 Woman Body ft Kizz Daniel Uptempo
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tekno (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.