Bata-shimo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Tadorninae)
Bata-shimo | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 10:
|
Mabata-shimo ni ndege wa maji wa nusufamilia ya Tadorninae katika familia ya Anatidae. Mabata hawa ni katikati ya mabata wachovya na mabata bukini kwa ukubwa na kwa umbo. Wanaitwa mabata-shimo kwa sababu spishi nyingi hutaga mayai ndani ya shimo la mti au pango la sungura, mhanga n.k. Hula wanyamakombe, kaa, wadudu, nyungunyungu au manyasi, mimea ingine na mbegu. Wakiruka angani wanafanana zaidi na mabata bukini kuliko na mabata wachovya.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Alopochen aegyptiaca, Bata Bukini wa Misri (Egyptian Goose)
- Alopochen kervazoi, Bata Bukini wa Réunion (Réunion Sheldgoose or Kervazo's Egyptian Goose) – imekwisha miaka ya 1690
- Alopochen mauritianus, Bata Bukini wa Morisi (Mauritius Sheldgoose) – imekwisha miaka ya 1690
- Cyanochen cyanoptera, Bata Bukini Mabawa-buluu (Blue-winged Goose)
- Sarkidiornis melanotos, Bata nyundo (Knob-billed Duck)
- Tadorna cana, Bata Kichwa-kijivu) (South African or (Cape Shelduck)
- Tadorna ferruginea, Bata Kahawianyekundu) (Ruddy Shelduck)
- Tadorna tadorna, Bata Mkufu-mwekundu) (Common Shelduck)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Chloephaga hybrida (Kelp Goose)
- Chloephaga melanoptera (Andean Goose)
- Chloephaga picta (Upland or Magellan Goose)
- Chloephaga poliocephala (Ashy-headed Goose)
- Chloephaga rubidiceps (Ruddy-headed Goose)
- Hymenolaimus malacorhynchus (Blue Duck)
- Malacorhynchus membranaceus (Pink-eared Duck or Zebra Duck)
- Merganetta armata (Torrent Duck)
- Neochen jubata (Orinoco Goose)
- Radjah radjah (Rajah Shelduck)
- Sarkidiornis sylvicola (Comb Duck)
- Tachyeres brachypterus (Falkland Steamer Duck)
- Tachyeres leucocephalus (Chubut Steamer Duck)
- Tachyeres patachonicus (Flying Steamer Duck)
- Tachyeres pteneres (Fuegian Steamer Duck)
- Tadorna cristata (Crested Shelduck) - labda imekwisha sasa
- Tadorna tadornoides (Australian Shelduck)
- Tadorna variegata (Paradise Shelduck)
Spishi za kabla ya historia
[hariri | hariri chanzo]- Alopochen sirabensis (Malagasy Shelduck, Madagaska) - labda spishi ndogo ya A. mauritianus
- Centrornis majori (Malagasy sheldgoose, Madagaska)
- Pachyanas chathamica (Chatham Island Duck, Visiwa vya Chatham)
- Tadorna cf. variegata (Chatham Islands Shelduck, Visiwa vya Chatham)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Bata bukini wa Misri
-
Bata bukini bawa-buluu
-
Bata nyundo
-
Bata kichwa-kijivu
-
Bata kahawiachekundu
-
Bata mkufu-mwekundu
-
Andean goose
-
Magellan goose
-
Ashy-headed goose
-
Ruddy-headed goose
-
Blue duck
-
Pink-eared duck
-
Orinoco goose
-
Falkland steamer duck
-
Fuegian steamer duck
-
Radjah shelduck
-
Australian shelduck
-
Male paradise shelduck
-
Female paradise shelduck