Tacos ya Ufaransa
Mandhari
Tacos ya Kifaransa (kwa Kifaransa tacos français) ni chakula chenye tortilla ya ngano (mkata bapa kama chapati) inayoviringishwa imejaa vibanzi vya viazi, jibini na nyama. [1],[2][3] [4] , [5], vibanzi na mchuzi.
Ingawa chakula hicho kinaitwa kwa jina la Kihispania "tacos", ni tofauti na tacos za Meksiko ilhali kinafanana zaidi na "buritos" ya nchi ile.
Maandalizi
[hariri | hariri chanzo]Tacos ya Kifaransa ina tortilla ya ngano iliyo na mseto iliojumuishwa na:
- nyama (bekoni [6], nyama ya ng'ombe ya kusaga, kebab, cordon bleu, soseji);
- jibini;
- vibanzi;
- mchuzi (curry, BBQ, mchuzi myeupe, mayonnaise, ketchup au sosi nyingine).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "L'incroyable succès de la recette d'O'Tacos pour transformer le gras en or". Iliwekwa mnamo 2019-06-12..
- ↑ "Restauration rapide : la tendance du tacos". 2019-04-29. Iliwekwa mnamo 2019-06-12..
- ↑ "Pourquoi la nouvelle génération raffole autant des tacos". Grazia.fr. 2018-05-03. Iliwekwa mnamo 2018-05-05..
- ↑ "À table - Le tacos s'invite dans la rue des Carmes à Aurillac". www.lamontagne.fr. 18/09/2017. Iliwekwa mnamo 2018-05-08.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help). - ↑ "ENQUÊTE : Les Tacos, nouveaux rois du fast-food français". Clique.tv. 2017-01-16. Iliwekwa mnamo 2018-05-08..
- ↑ "Nos produits". Iliwekwa mnamo 2018-02-05..
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tacos ya Ufaransa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |