Nenda kwa yaliyomo

Tabitha Chawinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tabitha Chawinga
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 22 Mei 1996
Mahala pa kuzaliwa    Lilongwe, Malawi
Urefu 1.72 m
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya wanawake Malawi

* Magoli alioshinda

Tabitha Chawinga, (alizaliwa 22 Mei 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Malawi ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Inter Milan ya Italia na Timu ya Taifa ya wanawake Malawi.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Mei 19, 1996, katika Wilaya ya Rumphi kaskazini mwa Malawi, Chawinga ni mtoto wa tatu kati ya watoto watano waliozaliwa na wazazi wake. Alianza kucheza soka akiwa na umri wa miaka mitano na kucheza na wavulana hadi umri wa miaka 13 alipoanza kuchezea klabu ya wasichana ya DD Sunshine katika mji mkuu wa Lilongwe.[1]

  1. "Tabitha Chawinge". Iliwekwa mnamo 18 Juni 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tabitha Chawinga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.