Sylvie Kinigi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sylvie Kinigi (amezaliwa 1953) alikuwa Waziri Mkuu wa Burundi kutoka 10 Julai 1993 hadi 7 Februari 1994, na kaimu Rais kutoka 27 Oktoba 1993 hadi 5 Februari 1994, mwanamke wa kwanza na hadi leo wa pekee kushika nyadhifa hizi.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvie Kinigi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.