Cyprien Ntaryamira
Mandhari
Cyprien Ntaryamira | |
Cyprien Ntaryamira, 1993 | |
Muda wa Utawala 5 Februari 1994 – 6 Aprili 1994 | |
Waziri Mkuu | Anatole Kanyenkiko |
mtangulizi | Sylvie Kinigi (mpito) |
aliyemfuata | Sylvestre Ntibantunganya |
tarehe ya kuzaliwa | Mubimbi, Ruanda-Urundi (saga Bujumbura Vijijini, Burundi) | 6 Machi 1955
tarehe ya kufa | 6 Aprili 1994 (umri 39) Kigali, Rwanda |
chama | Burundi Workers' Party (1979–1986) Front for Democracy in Burundi (1986–1994) |
ndoa | Sylvana Mpabwanayo |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Taifa cha Rwanda |
Cyprien Ntaryamira (6 Machi 1955 - 6 Aprili 1994) alikuwa Mhutu Rais wa Burundi kutoka tarehe 5 Februari 1994 hadi kifo chake miezi miwili baadaye, wakati ndege aliyokuwa akisafiri, pamoja na rais wa Rwanda Juvénal Habyarimana, ilipigwa risasi karibu na Kigali, Rwanda.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cyprien Ntaryamira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |