Sylvestre Ntibantunganya
Mandhari
Sylvestre Ntibantunganya | |
Sylvestre Ntibantunganya, 1994 | |
Muda wa Utawala 6 Aprili 1994 – 25 Julai 1996 | |
Waziri Mkuu | Anatole Kanyenkiko (1994–1995) Antoine Nduwayo (1995–1996) |
---|---|
mtangulizi | Cyprien Ntaryamira |
aliyemfuata | Pierre Buyoya |
Rais wa Bunge la Taifa la Burundi
| |
Muda wa Utawala 23 Desemba 1993 – 30 Septema 1994 | |
Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi
| |
Muda wa Utawala 10 Julai 1993 – 22 Desemba 1993 | |
tarehe ya kuzaliwa | 8 Mei 1956 Gishubi, Gitega, Burundi |
chama | Front for Democracy in Burundi (FRODEBU) Burundi Workers' Party (UBU) |
ndoa | Eusébie Nshimirimana (–1993) Pascasie Minani (1995–) |
Sylvestre Ntibantunganya (alizaliwa Gishubi, Gitega, 8 Mei 1956) alikuwa rais wa sita wa Burundi (6 Aprili 1994 - 25 Julai 1996).
Alitoka katika chama Front for Democracy in Burundi (FRODEBU)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sylvestre Ntibantunganya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |