François Ngeze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

François Ngeze (amezaliwa Mkoa wa Bujumbura) alikuwa mkuu wa nchi ya Burundi kutoka 21 Oktoba 1993 hadi 27 Oktoba 1993. Yeye alichaguliwa na Kamati ya Wokovu wa Umma, kundi la maafisa wa jeshi waliopindua serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ya Rais Melchior Ndadaye (aliyeuawa wakati wa mapinduzi).

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu François Ngeze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.