Siti Nurhaliza I
Siti Nurhaliza I ni albamu ya kwanza ya mwimbaji Siti Nurhaliza kutoka Malaysia ambayo ilitolewa mnamo 1996.[1] Albamu hiyo ni ya kwanza kwake baada ya kushinda shindano la kuimba la RTM, Bintang HMI 1995,[2] ambapo alirekodi mnamo [1996].[1]
Albamu imepewa jina lake binafsi, na kwa ujumla inajumuisha aina ya muziki wa pop na "ballad" pamoja na wimbo wake maarufu wa kwanza Jera Percintaan ambao baadaye ulishinda "[11th Augerah Juara Lagu]" katika mwaka huohuo na kuuza zaidi ya nakala [50,000].[3] Alishinda taji wakati wa ingizo lake la kwanza kwenye Anugerah Juara Lagu na kuwashinda waimbaji wapendwa kwa wakati huo, Ziana Zain na Fauziah Latiff.[4][2]
Siti Nurhaliza I ni moja ya albamu ya kwanza miongoni mwa albamu sita za Siti kwa kushirikiana na Adnan Abu Hassan, ambaye alichangia nyimbo saba katika albamu.
Utayarishaji
[hariri | hariri chanzo]Baada ya kushinda Bintang HMI mnamo 1995 na kufanikiwa kutolewa kwa wimbo wake wa ushirikiano pamoja na "2 by 2", “Mawarku” (“My Rose”), Siti Nurhaliza alifuatwa na mtayarishaji mashuhuri wa muziki Adnan Abu Hassan na alimpa ofa ya maktaba wa kurekodi na “Siria Records” ambamo Adnan alikuwa Meneja Mkuu wa lebo kwa wakati huo. Muda mfupi baadaye, meneja wa lebo Tan Su Loke alikwenda katika mji wake huko Temrloh kumwomba baba yake Siti, Tarudin Ismail kusaini mkataba.[5] Kabla ya kujiunga “Suria Records”, Siti alipokea dili ya kurekodi na makampuni makubwa ya kurekodi - Sony Music, BMG Music na Warner Music. Kufanya kazi na Adnan, ambaye alimpa mafunzo ya sauti, alirekodi albamu yake ya kwanza.[5] Jawapan di Persimpangan (Jibu katika Njiapanda) ni wimbo wa kwanza kurekodiwa katika albamu hiyo.
Wakati wa kurekodi albamu yake, ambayo ilifanyika kati ya 1995 na mapema 1996, Siti ilimlazimu kugawanya muda kati ya Kuala Lipis na Kuala Lumpur kila wiki Ijumaa kwa kuendesha basi akiambatana na mama yake, Siti Salmah Bachik na kaka yake, Saiful Bahri na kurejea katika mji wao huko Kuala Lipis Jumapili mchana kwani alikuwa bado anasoma na anafanya mitihani ya Sijil Pelajaran Malaysia (SPM).[5]
Kutolewa na mapokezi
[hariri | hariri chanzo]Siti Nurhaliza ilitolewa mnamo 1 Aprili [1996] na "Suria Records", pamoja na Adnan Abu Hassan kama mtayarishaji wa albamu na video mbili za muziki zilitolewa kutoka kwenye hiyo albamu - Jerat Percintaan na Jawapan di Persimpangan. Albamu ilipokelewa vizuri na Ziliuza zaidi ya nakala 50,000,[3] ikimfanya Siti Nurhaliza mwenyewe ashinde Best New Female Artist katika Anugerah Industri Muzik na mapendekezo mawili ya "Best Pop Album" na "Best Vocal Perfomance" kwenye Albamu (Female) katika tuzo hizo hizo mnamo [1998].[6] ikimfanya Siti Nurhaliza mwenyewe ashinde “Best New Female Artist” katika Anugerah Industri Muzik na mapendekezo mawili kwa "Best Pop Album" na "Best Vocal Perfomance" kwenye Albamu (Female) katika tuzo hizo hizo mnamo [1998].
Nyimbo tatu zilitolewa kutoka kwenye hii albamu, Jerat Percintaan (“Love Trap”), Jawapan Di Persimpangan ("An Answer at the Crossroads") na Cari-Cari (“Looking”).[7] Hadi mnamo [2005], ziliuzwa jumla ya zaidi ya nakala [800,000] za albamu yenyewe nchini Malaysia peke yake.[7] Siti Nurhaliza angeendelea kurekodi albamu tano zaidi na Adnan: Siti Nurhaliza II ([1997]), Adiwama (1998), Pancawama ([1999]), Safa ([2001]) na Lentere Timur ([2008]).[3]
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]No. | Jina | Mtayarishaji / Watayarishaji | Urefu |
---|---|---|---|
1. | "Jawapan di Persimpangan" ("An Answer at the Crossroads") | Adnan Abu Hassan | 4:21 |
2. | "Mahligai Asmara" ("Palace of Romance") | Adnan Abu Hassan | 4:10 |
3. | "Jerat Percintaan" ("Love Trap") | Adnan Abu Hassan | 4:55 |
4. | "Antara Waktu dan Usia" ("Between Time and Age") | Adnan Abu Hassan | 5:18 |
5. | "Sempadan" ("The Borders") | Adnan Abu Hassan | 4:48 |
6. | "Sanggar Bayu" ("The House of Breeze") | Adnan Abu Hassan | 4:37 |
7. | "Cari-cari" ("Looking") | Fauzi Marzuki | 4:22 |
8. | "Bicara Luka" ("Hurtful Words") | Fauzi Marzuki | 5:01 |
9. | "Kerana Jelingan Mu" ("Because of Your Glances") | Adnan Abu Hassan | 3:51 |
10. | "Jalanan Berduri" ("Thorny Paths") | Peter Fam | 5:38 |
Tuzo na heshima
[hariri | hariri chanzo]- Song Champion, 11th Anugerah Juara Lagu [1996] (Jerat Percintaan)[8][9][10]
- Best Performance, 11th Anugerah Juara Lagu [1996] (Jerat Percintaan)[8][9][10]
- Best Ballad, 11th Anugerah Juara Lagu [1996] (Jerat Percintaan)[9][10]
- Best Song, 4th Anugerah Industri Muzik [1997] (Jerat Percintaan)[11]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Mahu seksi atau sopan? – Artis-artis dikelilingi konsultan imej". Utusan Malaysia Online (kwa Kimalei). 10 Oktoba 2000. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-19. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 "Kembara seni penyanyi No. 1". Utusan Malaysia Online (kwa Kimalei). 4 Aprili 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-19. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 3.0 3.1 3.2 "Juara Lagu Unearths Another New Star". Life! Singapore Straits Time. Simply Siti Nurhaliza Zone. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Novemba 2007. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2010.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help) - ↑ "Cabaran Buat Siti Nurhaliza". Utusan Malaysia (kwa Kimalei). Simply Siti Nurhaliza Zone. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Desemba 2011. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2010.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help) - ↑ 5.0 5.1 5.2 Hardi Effendi Yaacob (14 Juni 2009). "Siti Nurhaliza diburu syarikat rakaman" [Siti Nurhaliza pursued by recording companies]. Berita Minggu (kwa Kimalei). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2016.
- ↑ Shazryn Mohd. Faizal (27 Aprili 2009). "Bukan selalu Siti menang". Utusan Malaysia Online (kwa Kimalei). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-03. Iliwekwa mnamo 23 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 7.0 7.1 Malay Mail Staff (9 Mei 2005). "Career Highlights: Adnan Abu Hassan". The Malay Mail. AccessMyLibrary. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 8.0 8.1 "Sentuhan Adnan akhiri kemarau kategori Balada". Berita Harian (kwa Kimalei). Digital Collections DC5: Text Archive. 30 Desemba 2003. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 9.0 9.1 9.2 "Catatan penting Juara Lagu". Utusan Malaysia Online (kwa Kimalei). 1 Januari 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-17. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 10.0 10.1 10.2 "Fakta menarik sejarah Juara Lagu". Utusan Malaysia Online (kwa Kimalei). 16 Januari 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-17. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "AIM perlu diteruskan". Metro Ahad (kwa Kimalei). Digital Collections DC5: Text Archive. 30 Desemba 2003. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Siti Nurhaliza – Official Website Ilihifadhiwa 7 Aprili 2020 kwenye Wayback Machine.