Nenda kwa yaliyomo

Siardi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Siardi akisali.

Siardi, O.Prem. (karne ya 12Mariengaard, leo nchini Uholanzi, 13 Novemba 1230) alikuwa kanoni wa shirika la Premontree aliyeongoza kwa miaka 36 kama abati monasteri alipofariki.

Alikuwa maarufu kwa kushika kikamilifu kanuni na kuwakirimu maskini [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Benedikto XIII mwaka 1728.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Bernard Ardura, Premostratensi: nove secoli di storia e spiritualità di un grande ordine religioso, Bologna: ESD, 1997, p. 135.
  • 'Vitae Abbatum Orti Sanctae Marie: Vijf abtenlevens van het klooster Mariengaarde in Friesland, inleiding, editie en vertaling H.Th.M. Lambooij en J. A. Mol met medewerking van M. Gumbert-Hep en P. N. Noomen, Hilversum - Leeuwarden 2001
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.