Sherehe ya Utamaduni ya Wamaragoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Sherehe ya Utamaduni ya Wamaragoli ambayo hufanyikia mjini Mbale kila tarehe 26 Desemba,[1] ni sherehe ya kutambua sio tu utamaduni na turati za Wamaragol, ila jamii yote ya Waluhya walio na makao katika Wilaya ya Vihiga.[2] Jamii hii ya waluhya inajumuisha Wamaragoli, banyore, tiriki na majirani zao ambao ni waidakho na wakisa.

Sherehe hii huandaliwa na Vihiga Cultural Society. Patron wa kwanza alikuwa Moses Mudavadi, babake mmoja wa waziri wawili wakuu wasaidizi wa nchi ya Kenya Musalia Mudavadi.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. (1997) Wajir District Development Plan, 1997-2001. Republic of Kenya, Office of the Vice-President and Ministry of Planning and National Development, p. 21. Retrieved on 2008-11-08. 
  2. Ipara, Hellen (Desemba 2000). "Towards cultural tourism development around the Kakamega Forest Reserve, Kenya". In John S. Akama, Kennedy I. Ondimy, Kibicho Wanjohi, Patricia Sterry, Debra Leighton, Peter Schofield (eds.). Proceedings of the ATLAS Africa International Conference Desemba 2000, Mombasa, Kenya. Cultural tourism in Africa: strategies for the new millennium. pp. 95–108. http://www.atlas-euro.org/pages/pdf/Cultural%20tourism%20in%20Africa%20Deel%201.pdf. Retrieved 2008-11-08.
  3. Wanyande, Peter (2002). Joseph Daniel Otiende. East African Educational Publishers, p. 60. ISBN 9789966251565.