Nenda kwa yaliyomo

Shamiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Shamiani
Nchi Tanzania
Mkoa Pemba Kusini
Wilaya Mkoani
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,264

Shamiani ni kata ya Wilaya ya Mkoani katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 1,264 [1].

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.

Kwa sasa ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lenye nyumba za magofu za Waswahili zilizochimbwa kutoka takriban karne ya 14 hadi ya 16[2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.nbs.go.tz, uk. 255
  2. Allen, James de Vere (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies. 14 (2): 306–334. doi:10.2307/218047. ISSN 0361-7882.
  3. Schacht, J. (1961). "Further Notes on the Staircase Minaret". Ars Orientalis. 4: 137–141. ISSN 0571-1371.
Kata za Wilaya ya Mkoani - Mkoa wa Pemba Kusini - Tanzania

Chambani | Changaweni | Chokocho | Chole | Chumbageni | Dodo | Jombwe | Kangani | Kendwa | Kengeja | Kisiwapanza | Kiwani | Kuukuu | Makombeni | Makoongwe | Mbuguani | Mbuyuni | Mchakwe | Mgagadu | Michenzani | Minazini | Mizingani | Mjimbini | Mkanyageni | Mkungu | Mtambile | Mtangani | Mwambe | Ng'ombeni | Ngwachani | Shamiani | Shidi | Stahabu | Ukutini | Uweleni | Wambaa


Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shamiani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.