Nenda kwa yaliyomo

Senoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Senoko (Tiffauges, leo nchini Ufaransa, 536 - Touraine, 576) alikuwa padri aliyeanzisha monasteri juu ya magofu[1], akafanya juhudi katika makesha, saumu na matendo ya huruma kwa watumwa [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 24 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Pietri Luce. « La ville de Tours du IVe au VIe siècle. Naissance d'une cité chrétienne ». Rome : École Française de Rome, 1983. 900 p. (Publications de l'École française de Rome, 69-1)Kigezo:P.217-218
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/74965
  3. Martyrologium Romanum
  • Les amis du vieux Tiffauges, Histoire de Tiffauges en Vendée p.62

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.