Sarmata wa Thebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sarmata wa Thebe (alifariki karne ya 4) alikuwa mwanafunzi wa Antoni Mkuu jangwani, halafu abati sehemu za Thebe (Misri) hadi alipouawa na Waarabu.

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tangu zamani sana kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 11 Oktoba kila mwaka[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.