Mmoyomoyo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Sapindus)
Mmoyomoyo (Sapindus spp.) | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mmoyomoyo
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 12: |
Mimoyomoyo, miharita au mimwaka ni miti ya jenasi Sapindus katika familia Sapindaceae ambayo matunda yake, yanayoitwa moyomoyo, hutumika kwa kutengeneza aina ya sabuni. Uziduzi wa matunda hutumika kwa kulevya samaki au kuua konokono wa maji ambao wanaambukiza kichocho. Jenasi hii ni jenasi-mfano ya Sapindaceae.
Spishi za Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Sapindus saponaria, Mmoyomoyo
- Sapindus trifoliatus, Mmoyomoyo Majani-matatu
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Moyomoyo mtini
-
Moyomoyo
-
Povu iliyotolewa na moyomoyo
-
Majani na matunda ya mmoyomoyo majani-matatu
-
Matunda ya mmoyomoyo majani-matatu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mmoyomoyo kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |