Mmoyomoyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mmoyomoyo
(Sapindus saponaria)
Mmoyomoyo
Mmoyomoyo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Sapindales (Mimea kama mmoyomoyo)
Familia: Sapindaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mmoyomoyo)
Jenasi: Sapindus
Spishi: S. saponaria
L.

Mmoyomoyo (Sapindus saponaria) ni mti ambao makokwa (matunda) yake hutumika kwa kutengeneza aina ya sabuni. Uziduzi wa matunda hutumika kwa kulevya samaki au kuua konokono wa maji ambao waambukiza kichocho. Jenasi ya mti huu ni jenasi-mfano ya familia Sapindaceae .

Picha[hariri | hariri chanzo]

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mmoyomoyo kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.