Romeo Alexander Horton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Romeo Alexander Horton (20 Agosti, 19232005) alikuwa mchumi, mwanabenki na mtumishi wa serikali nchini Liberia.[1]

Alipata wazo la kuanzisha Benki ya Maendeleo ya Afrika na alikuwa mmoja wa waanzilishi wa benki hiyo.[2][3]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Romeo alizaliwa alizaliwa Monrovia nchini Liberia na Mchungaji Daniel Horton na Ora Milner Horton chotara wa Marekani na Afrika kutoka huko Georgia.

Horton alianza masomo yake katika shule ya Ricks Institute nchini Virginia chini ya malezi ya baba yake ambaye alikuwa mkuu wa chuo wakati huo. Baba yake Hortons alihamishiwa katika shule ya Booker Washington Institute (ambayo ilihusika haswa na kilimo) na Horton alijiunga katika shule hiyo na kuhitimu darasa la nane mwaka 1937. Horton alihitimu katika chuo cha Morehouse College huko Atlanta, Georgia.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.afdb.org/en/news-and-events/the-afdb-in-liberia-romeo-horton-and-the-essence-of-leadership-9766
  2. Company, Johnson Publishing (1962-11-22). Jet (kwa Kiingereza). Johnson Publishing Company. 
  3. Dunn, D. Elwood (March 2013). Liberia and Independent Africa, 1940s To 2012: A Brief Political Profile (kwa Kiingereza). Africana Homestead Legacy Pb. ISBN 9781937622510.  Check date values in: |date= (help)
  4. Company, Johnson Publishing (1976-11-11). Jet (kwa Kiingereza). Johnson Publishing Company. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Romeo Alexander Horton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.