Msufi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Rhodognaphalon)
Msufi | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Msufi mwekundu
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Misufi ni miti mirefu ya jenasi tatu katika familia Malvaceae ambayo yanazaa matunda yaliyojaa na sufi, nyuzi zinazofanana na pamba. Spishi nyingi zinatokea Amerika ya Kusini na ya Kati na Asia, lakini spishi kadhaa zina asili yao katika Afrika.
Spisha za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Bombax buonopozense, Msufi Magharibi
- Bombax ceiba, Msufi Mwekundu
- Bombax costatum, Msufi wa Saheli
- Ceiba pentandra, Msufi Mweupe
- Rhodognaphalon brevicuspe, Msufi Kondroti
- Rhodognaphalon schumannianum, Msufi-mwitu au Msufi-pori
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Msufi magharibi
-
Msufi wa Saheli
-
Msufi mweupe
-
Msufi-mwitu
-
Maua ya msufi mwekundu
-
Matunda ya msufi mwekundu yanayoonyesha sufi
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Msufi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |