Nenda kwa yaliyomo

Mfumo wa uzazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Reproductive system)
Mtoto mchanga wa kangaruu akinyonya titi lililopo katika mfuko wa mbele wa mama yake.

Mfumo wa uzazi ni mfumo wa ogani za kijinsia ndani ya mwili zinazofanya kazi pamoja katika kulenga uzazi wa kijinsia.

Mbali na ogani hizo, dutu mbalimbali zisizo hai, kama vile viowevu, homoni n.k., ni muhimu katika kukamilisha mfumo wa uzazi na kuuwezesha kufanikiwa.[1]

Tofauti na mifumo mingine mbalimbali ya viumbe hai, mara nyingi jinsia za spishi zenye tofauti za kijinsia zina tofauti muhimu ambazo zinawezesha urithi wa wazazi kuchanganyikana kwa faida ya afya ya watoto.[2]

  1. Introduction to the Reproductive System. , Epidemiology and End Results (SEER) Program. Ilihifadhiwa 24 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
  2. Reproductive System 2001 Ilihifadhiwa 22 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine. Body Guide powered by Adam

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfumo wa uzazi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.