Nenda kwa yaliyomo

Titi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matiti ya mwanamke

Matiti au maziwa ni sehemu za kifua zilizotutumka zenye machuchu. Baada ya kuzaa hujaa maziwa (kiowevu) na hutumika ili kunyonyesha mtoto mchanga.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Titi kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.