Nenda kwa yaliyomo

Remakli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Stavelot.

Remakli (pia: Remacle, Remaclus, Remaculus, Rimagilus; Aquitaine, leo nchini Ufaransa, karne ya 6 mwishoni au karne ya 7 mwanzoni – Stavelot, leo nchini Ubelgiji, 673 hivi) alikuwa mmonaki padri huko Luxeuil aliyetumwa kuwa abati wa kwanza [1] wa monasteri ya Solignac [2] halafu akakabidhiwa nyingine tatu [3].

Mwaka 650[4] alichaguliwa kuwa askofu wa Maastricht[5]. Hapo kwa miaka kumi na miwili alijitahidi kufanya wakazi Wapagani wa Flandria waongokee Ukristo halafu akarudi monasterini [6][7].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba[8].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Schäfer, Joachim. "Remaclus von Stablo", Ökumenischen Heiligenlexikon
  2. Havard, Henry. Histoire de l'orfèvrerie française Paris. Librairies-imprimeries réunies, 1896, p. 69
  3. ""Histoire", Ville de Stavelot". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-11. Iliwekwa mnamo 2024-05-11. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  4. Butler, Alban. "St. Amandus, Bishop and Confessor", The Lives of the Saints, Vol. III, 1866
  5. Watkins, Basil. "Theodard of Maastricht", The Book of Saints, Bloomsbury Publishing, 2015 ISBN 9780567664150
  6. Butler. Alban. "Saint Remaclus, Bishop of Maestricht, Confessor". Lives of the Fathers, Martyrs, and Principal Saints 1866. CatholicSaints.Info. 27 August 2014
  7. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68890
  8. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.