Rasi Delgado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rasi ya Delgado)
Jump to navigation Jump to search
Rasi Delgado katika Msumbiji

Rasi Delgado (kwa Kireno: Cabo Delgado) ni rasi mwambaoni mwa Bahari Hindi iliyoko kaskazini kabisa mwa pwani ya Msumbiji.

Rasi Delgado iko takriban km 40 kusini kwa mji wa Mtwara, Tanzania. Mji mdogo wa Quionga umo rasini.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kufukuzwa kwa Wareno katika miji ya Uswahilini wakati wa karne ya 17, Rasi Delgado ilikuwa mpaka wa kaskazini wa maeneo yaliyobaki chini ya athira ya Ureno katika Afrika ya Mashariki.

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rasi Delgado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.