Mwaloni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Quercus)
Mwaloni | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwaloni (Quercus suber)
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi >500, 7 katika Afrika:
|
Mialoni (kwa Kiingereza: oak) ni miti ya jenasi Quercus katika familia Fagaceae. Kuna spishi takriban 500 za miti hiyo, nyingi katika Amerika Kaskazini na saba katika Afrika ya Kaskazini.
Majani yake yana rangi ya kijani iliyokolea na hayapuputiki wakati wa kiangazi.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Quercus canariensis, Mwaloni wa Kanari
- Quercus coccifera, Mwaloni majani-miiba
- Quercus faginea, Mwaloni wa Ureno
- Quercus ilex, Mwaloni majani-magumu
- Quercus lusitanica, Mwaloni wa Hispania
- Quercus pyrenaica, Mwaloni wa Pirenei
- Quercus suber, Mwaloni-koki
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani na matunda ya mwaloni wa Kanari
-
Majani ya mwaloni majani-miiba
-
Majani na matunda ya mwaloni wa Ureno
-
Majani na matunda ya mwaloni majani-magumu
-
Majani na matunda ya mwaloni wa Pirenei
-
Matunda ya mwaloni-koki
-
Gome la mwaloni-koki
-
Mchoro wa mwaloni wa Gustave Courbet (1843)
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwaloni kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |