Nenda kwa yaliyomo

Kengewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Pernis)
Kengewa
Kengewa mlanyuki
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Accipitriformes (Ndege kama vipanga)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na vipanga)
Nusufamilia: Perninae (Ndege walia na mnasaba na kengewa)
Blyth, 1851
Ngazi za chini

Jenasi 6 za kengewa:

Yai la kengewa mlanyuki

Kengewa ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali za nusufamilia Perninae katika familia Accipitridae. Wana mabawa marefu na mkia mrefu mwenye miraba myeusi. Spishi za jenasi Henicopernis na Pernis hula nyuki, nyigu na asali hasa lakini spishi nyingine hula wanyama wadogo. Hujenga tago lao juu ya mti msituni.

Mpaka juzi kengewa mlanyuki tu ameonwa Afrika kusini kwa Sahara, lakini mwaka 2005 kengewa wa Asia ameonwa huko Gaboni.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri | hariri chanzo]