Kengewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kengewa
Kengewa mlanyuki
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Accipitriformes (Ndege kama vipanga)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na vipanga)
Nusufamilia: Perninae (Ndege walia na mnasaba na kengewa)
Jenasi: Chondrohierax Lesson, 1843

Hamirostra Brown, 1845
Henicopernis Gray, 1859
Leptodon Sundevall, 1836
Lophoictinia Kaup, 1847
Pernis Cuvier, 1816

Yai la kengewa mlanyuki

Kengewa ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali za nusufamilia Perninae katika familia Accipitridae. Wana mabawa marefu na mkia mrefu mwenye miraba myeusi. Kengewa mlanyuki na kengewa wa Asia hula nyuki, nyigu na asali hasa lakini spishi zingine hula wanyama wadogo. Hujenga tago lao juu ya mti msituni.

Mpaka juzi kengewa mlanyuki tu ameonwa Afrika kusini kwa Sahara, lakini mwaka 2005 kengewa wa Asia ameonwa huko Gaboni.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]