Nenda kwa yaliyomo

Patricia Barber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Patricia Barber jukwaani ("Victoria Theater") katika tamasha , Oslo. 2017

Patricia Barber (amezaliwa 8 Novemba 1955) ni mwimbaji wa jazz na blues, mcheza kinanda, mwandishi wa nyumba na kiongozi wa bendi kutoka Marekani.[1]

Biografia

[hariri | hariri chanzo]

Baba yake Floyd alikuwa mcheza "saxophone" ya jazz ambaye alicheza pamoja na Bud Freeman na Glenn Miller.[2] Patricia Barber alijifunza "saxophone" na kinanda katika ujana na alianza kuimba katika shule za sekondari za muziki.[2] Alijikita katika kinanda katika chuo kikuu cha lowa (University of lowa) mwanzoni mwa mwaka 1970. Baada ya kumaliza chuo, alitumbuiza katika baa na vilabu huko Chicago. Albamu yake Mythologies imeegemea kwenye hadithi za mshairi wa Kirumi Ovid.

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Barber ni msagaji, mahojiano na yeye yanaonyesha hajaribu kuficha ukweli huo.[3]

Tuzo na Heshima

[hariri | hariri chanzo]
  • Alipewa Guggenheim Fellowship mnamo 2003 katika eneo la Sanaa Bunifu – Utunzi wa Muziki.[4]
  • Alichaguliwa kwenda "American Academy of Arts and Sciences".[5][6]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Alama (*) inaashiria kwamba mwaka ni ule wa kutolea

Mwaka wa kurekodi Jina Lebo Wahusika/Maelezo
1989* Split Floyd Trio, pamoja na Michael Arnopol (besi), Mark Walker (ngoma)
1991 A Distortion of Love Antilles Pamoja na Wolfgang Muthspiel (gitaa), Marc Johnson (besi), Adam Nussbaum (ngoma, "percussion", "finger snaps"), Carla White na Big Kahuna ("finger snaps")
1994 Café Blue Premonition With John McLean (gitaa), Michael Arnopol (besi), Mark Walker (ngoma, "percussion")
1998 Modern Cool Premonition Pamoja na John McLean (gitaa), Michael Arnopol (besi), Mark Walker (ngoma, "percussion"), Dave Douglas (mpiga tarumbeta), Jeff Stitely ("udu"), Choral Thunder Vocal Choir
1999 Companion Premonition Pamoja na John McLean (gitaa), Michael Arnopol (besi), Eric Montzka (ngoma, "percussion"), Ruben P. Alvarez ("percussion); Jason Narducy (sauti) wimbo mmoja umeongezwa
2000* Nightclub Blue Note Pamoja na Marc Johnson na Michael Arnopol (besi; kivyake), Adam Nussbaum na Adam Cruz (ngoma; kivyake), Charlie Hunter (gitaa)
2002* Verse Premonition/Blue Note Dave Douglas(trumpet), Neal Alger (gitaa), Michael Arnopol (besi), Joey Baron (ngoma); wimbo mmoja "quartet" pamooja na Eric Montzka (ngoma) akichukua nafasi ya Baron; wimbo mmoja pamoja na Cliff Colnot "String Ensemble" zimeongezwa
2004* Live: A Fortnight in France Blue Note "Quartet", pamoja na Neal Alger (gitaa), Michael Arnapol (besi), Eric Montzka (ngoma)
2006* Mythologies Blue Note Nyimbo nyingi "quartet", pamoja na Neal Alger (gitaa), Michael Arnapol (besi), Eric Montzka (ngoma); baadhi ya nyimbo pamoja na Jim Gailloreto ("sax") zimeongezwa; baadhi ya nyimbo pamoja na waimbaji zimeongezwa
2008* The Cole Porter Mix Blue Note Chris Potter ("tenor sax") zimeongezwa; baadhi ya nyimbo pamoja "quartet" na Alger (gitaa), Arnopol (besi), Nate Smith (ngoma, "percussion")
2010 Live in Concert Floyd Ushirikiano, pamoja na Kenny Werner (kinanda); kwenye tamasha
2013* Smash Concord Jazz
2019 Higher ArtistShare Mzunguko wa kurekodi wimbo "Angels, Birds na I…"

Chanzo:[7][8]

Viungo nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.discogs.com/artist/91666-Patricia-Barber
  2. 2.0 2.1 Yanow, Scott (2008). The Jazz Singers: The Ultimate Guide. Backbeat. uk. 109. ISBN 978-0-87930-825-4. LCCN 2008039171. OCLC 767843314. OL 8128605M.
  3. "In the 'Mix': An Interview With Patricia Barber". gaylesbiantimes.com Published November 6, 2008, in issue 1089. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 31, 2010. Iliwekwa mnamo Novemba 22, 2010. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20101231232242/http://www.gaylesbiantimes.com/?id= ignored (help)CS1 maint: unfit URL (link)
  4. "Barber Awarded Fellowship by Guggenheim Foundation in 2003". gf.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 30, 2011. Iliwekwa mnamo Novemba 22, 2010.
  5. "2019 Fellows and International Honorary Members with their affiliations at the time of election". members.amacad.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-02. Iliwekwa mnamo 2020-03-03. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. https://www.dakotacooks.com/event/patricia-barber-2/
  7. "Patricia Barber | Album Discography". AllMusic. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Patricia Barber | The Higher Project". ArtistShare. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-31. Iliwekwa mnamo 18 Januari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patricia Barber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.