Parteni wa Lampsaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Parteni wa Lampsako)

Parteni wa Lampsaki (alifariki Lampsaki, leo nchini Uturuki, karne ya 4) alikuwa askofu wa mji huo wakati wa utawala wa kaisari Konstantino[1].

Alieneza imani ya Kikristo kwa mahubiri kwa mfano wa maisha yake bora.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/39820
  2. Martyrologium Romanum, 2004
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.