Orodha ya mito ya Burkina Faso

Mito ya Burkina Faso ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
Kadiri ya beseni[hariri | hariri chanzo]
Bahari Atlantiki[hariri | hariri chanzo]
- Mto Komoé
- Mto Volta (Ghana)
- Mto Oti (Pendjari)
- Mto Volta Nyeusi (Mouhoun)
- Mto Volta Nyeupe (Nakambé)
- Mto Kulpawn
- Mto Volta Nyekundu (Nazinon)
- Mto Niger (Niger)
Mto Béli katika majira ya mvua. - Mto Mékrou
- Mto Tapoa
- Mto Goroubi
- Mto Sirba
- Mto Béli
- Mto Bani (Mali)
Kwa utaratibu wa alfabeti[hariri | hariri chanzo]
Baadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Rand McNally, The New International Atlas, 1993.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- United Nations, 2004
- GEOnet Names Server Archived 10 Aprili 2020 at the Wayback Machine.