Orodha ya mito ya Eritrea
Mandhari
Mito ya Eritrea ni mingi, si chini ya 240; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
- kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Kati au katika Bahari ya Shamu)
- kadiri ya alfabeti.
Kadiri ya beseni
[hariri | hariri chanzo]- Nile (Misri, Sudan)
- Mto Atbarah (Sudan)
Kwa utaratibu wa alfabeti
[hariri | hariri chanzo]Baadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.
