Nenda kwa yaliyomo

Mto Guwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Guwa unapatikana Eritrea na ni tawimto la mto Aligide ambao huishia katika Bahari ya Shamu baada ya kuungana na mto Comaile na mto Haddas.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]